HALMITI

KSh 500.00

Dawa hii hutumika kwa matibabu mengi mno kwa wajuaji au wanaoijua
1 humaliza mafua ( unaitumia kwa kujipakaa nje ya pua kidogo tu kisha utachukua chai ya rangi au Maji ya moto utaweka kipande kidogo katika chai robo kikombe kisha utakunywa) utafanya hivi asubuhi na jioni mpaka mafua yatakapoisha wengi hufanya hivi kutwa x3 na Mafuahutoweka
2 hutumika kukata kwa haraka mno maumivu ya meno ( chukua dawa hii iweke katika jino hakika litatulia Mara moja)
3 dawa hii hutumika pia kukata maumivu Makali yakiungo chochote cha mwili kama kiuno mgongo miguu basi chukua dawa katika kijiko na uibanike katika moto kidogo itayeyuka kisha jichue pahala panapouma hali hiyo itapoa na kupona kabisa.
Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “HALMITI”

Your email address will not be published. Required fields are marked *