Sale!
LUKUTA
Original price was: KSh 1,000.00.KSh 500.00Current price is: KSh 500.00.
Hii dawa hii inaitwa lukuta nidawa nzuri sana inatibu maradhi ya kichawi,kutegua tego ,gono
Utachukua hii dawa utaweka katika iji mwepesi sana utakuwa unakunywa asubuhi na jioni siku 3 na kuoga kutwa mara 2 siku 14
Hutibu kuuwa uchawi mwilini uchawi wa kutembea kitu mwilini kunywa katika uji kutwa mara mbili kwa siku tano na kuoga siku sita
Pia dawa hii utumika kumtoa jini mchafu mwilini tumia na majani ya mvuje ya twange upate majani yake kisha changanya pamoja na dawa hii rukuta kisha utatumia kuoga kujisugulia ndani ya mwili wako siku tatu asubuhi na jioni





Reviews
There are no reviews yet.