Description
KIVUMBASI Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula! 1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima …
Kivumbasi (kwa asili Ocimum au mitishamba jamii ya viungo na tiba) ni mmea wa asili unaotumika kutibu changamoto mbalimbali za kiafya kama vile tumbo kujaa gesi, kifua kubana, maumivu ya kichwa, na kufukuza wadudu.
Matumizi na Jinsi ya Kutibu
- Tumbo kujaa gesi: Twanga majani mabichi, kamua maji yake kwenye glasi, kisha unywe kwa siku mbili.
- Kifua kubana: Ponda majani safi ujipake kifuani, au weka kwenye maji ya moto unywe nusu kikombe asubuhi na jioni kwa siku tatu.
- Kichwa kuuma: Ponda majani yake pamoja na vitunguu saumu, kisha jipake kichwani.
- Kufukuza mbu: Weka mmea huu karibu na nyumba au tumia harufu yake asilia ili kuzuia wadudu.







Reviews
There are no reviews yet.