UFUNGUO
KSh 1,000.00 Original price was: KSh 1,000.00.KSh 500.00Current price is: KSh 500.00.
hii ni dawa ya asili yenye uwezo mkubwa wa kufungua vifungo vya kichawi au kijini kwa uwezo wa muumbaji kupitia nguvu yake katika utengenezwaji wa dawa hii ambayo asili yake ni mafuta.Dawa hii inafanyakazi kuu zifuatazo;~
1 kufungua uchawi wowote uliofungwa mwilini mwako ikiwa katika mambo unayoyafanya hauoni maendeleo yoyote au umesimama kimaendeleo hakuna badiliko katika biashara yako au kazi yako hapo ndo upo kifungoni na dawa hii kwa kujipaka tu utafunguka na utaona mabadiliko katika kazi yako
Reviews
There are no reviews yet.